June 01 2021 0Comment

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira atembelea maonyesho ya MJUMITA/TFCG

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh. Hamad H. Chande akiwa katika meza ya maonesho ya MJUMITA/TFCG kujionea shughuli zinazo fanywa na mashirika hayo wakati akiwa katika maadhimisho ya siku ya mazingira duniani June 1 2021 Jijini Dodoma.