SHIGELLA ATAKA MJUMITA IELIMISHE VIJIJI VYOTE NCHINI UHIFADHI SHIRIKISHI WA MISITU

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martin Shigella ameutaka Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA) ambao unatoa elimu ya Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii (USMJ) katika vijiji zaidi ya 450 kuongeza juhudi na kuona uwezekano wa kufikia vijiji vyote nchini. Soma zaidi kwenye tovuti ifuatayo: https://mwaibale.blogspot.com/2021/11/shigella-ataka-mjumita-ielimishe-vijiji.html?m=1

Please follow and like us: