Category: News

MJUMITA WATAKIWA KUSAMBAZA ELIMU YA UHIFADHI WA MISITU YA ASILI KWA WATOTO

Wanajumuiya ya Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA) wametakiwa kusambaza elimu ya uhifadhi wa misitu ya asili waliyonayo kwa watoto wadogo ambao ndio kizazi tegemewa kwa uhifadhi endelevu wa misitu. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) alipokuwa akifungua Warsha na Mkutano wa mwaka wa [...]