Category: Uncategorized

SHIGELLA ATAKA MJUMITA IELIMISHE VIJIJI VYOTE NCHINI UHIFADHI SHIRIKISHI WA MISITU

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martin Shigella ameutaka Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA) ambao unatoa elimu ya Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii (USMJ) katika vijiji zaidi ya 450 kuongeza juhudi na kuona uwezekano wa kufikia vijiji vyote nchini. Soma zaidi kwenye tovuti ifuatayo: https://mwaibale.blogspot.com/2021/11/shigella-ataka-mjumita-ielimishe-vijiji.html?m=1 Please follow and like us:

TFCG, MJUMITA, MCDI watoa maombi 7 bungeni

Katika kuhakikisha rasilimali misitu inakuwa endelevu Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG), Mtandao wa Jamii Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA) na Shirika la Mpingo na Maendeleo  (MCDI) wametoa maombi saba kwa Bunge. Soma zaidi kupitia linki hii https://francisdande.blogspot.com/2021/06/tfcg-mjumita-mcdi-watoa-maombi-7-bungeni.html Please follow and like us:

Communities around village forests acknowledges their rights and responsibilities on CBFM

Experience and lessons learned by MJUMITA networks members and other stakeholders living adjacent to forests indicates the way they exercise their rights and responsibilities in implementing Community based forest management and sustainable forest-based enterprises. This has been drawn from a case study from CoForEST project implemented by Tanzania Forest Conservation Group (TFCG) and Tanzania Community […]