Uswisi yaridhishwa na miradi ya USMJ vijijini

Wadau wa uhifadhi wa misitu na mazingita wakiwemo Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili
Tanzania(TFCG) Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania(MJUMITA), maofisa wa idara mbalimbali za mazingira kutoka serikalini pamoja na maofisa wa ubalozi wa Uswisi wakiwa katika kikao cha utambulisho baada ya kufika ofisini kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa
. Kusoma zaidi tembelea http://francisdande.blogspot.com/2020/11/uswisi-yaridhishwa-na-miradi-ya-usmj.html?m=1

Please follow and like us: